iqna

IQNA

SURAT ARAAD
Sura za Qur'an/13
TEHRAN (IQNA) – Mungurumo wa radi angani ni miongoni mwa alama za ukuu wa Mwenyezi Mungu na, kwa mujibu wa aya ya 13 ya Sura Ar-Ra’ad, inamtakasa na kumhimidi Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475432    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/27